Get lyrics of Bwana nakupenda wewe song you love. List contains Bwana nakupenda wewe song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).


Rose Muhando - Yesu Nakupenda Lyrics
No translations available. Lyrics for Yesu Nakupenda by Rose Muhando. Yesu nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Yesu wee nakupenda, bwana yesu wee nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda. Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Kama vile wewe ulivyo nipenda kwanza nakupenda Kisha tena ukautoa uhai wako nakupenda Yesu uh-h-h-h-h ...Khadja Nin - Bwana C. Lyrics
Lyrics for Bwana C. by Khadja Nin. Mayisha yangu wewe Aca niku imbiye Ujuwe kama Tangu nimeku ona Nakupenda nakupenda wewe ...Khadja Nin - Bwana C Lyrics
Mayisha yangu wewe Aca niku imbiye Ujuwe kama Tangu nimeku ona Nakupenda nakupenda wewe Hakuna duniyani Mapendo zayidi iyi Najuwa kama Hayi wezekane Nakupenda nakupenda wewe We bwana wa ungine Sikuwa najuwa yangu Mapendo ya vile Kweli nime jaribu Kukusahabu wewe bwana Alakini mama ... siweze Usini one mubaya Sinta ku ingiliya Mapendo yangu Ita baki inje Nakupenda nakupenda wewe Aca niku imbiye ...Nakupenda Wewe Lyrics - Safari Sound Band
Usiku kucha silali. Hata nala kwa kijiko. Nakupenda (x3) wewe. Nakupenda (x3) wewe. Nanana nanana nananana... This song is from the album "The Best Of African Songs" and "Mambo Jambo". Full and accurate LYRICS for "Nakupenda Wewe" from "Safari Sound Band": Nakupenda (x3) wewe, Nakupenda (x3) wewe, Mpenzi mbona wanisumbua, Kila nifanyavyo ...Git - Yesu Nakupenda Lyrics
Consolather Hillman submitted the lyrics for this song. Are the lyrics correct? login to vote. Lyrics for Yesu Nakupenda by Git. Yesu eeee nakupenda Bwana yesu eeee na kupenda Yesu eeee nakupenda Bwana yesu eeee na kupenda Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza Nakupenda Kisha tehna ukatoa uhai wako Nakupenda Kama vile ww ulivyo nipenda kwanza ...Yemi Alade - Nakupenda (Swahili Version) Lyrics
Oh, baby girl (oh, baby girl) You rock my world (you rock my world) Nakupenda, penda. Oh, boy I surrender. Baby, you remind me of my favorito father. Remember, remember, last day of December. When I introduce you to my mama and my papa. Mama no breathe, papa no breathe. In way I love about you but dem no see.Rayvanny - Nakupenda Lyrics
Rayvanny Lyrics. album: "Flowers III". Forever. When you do that thing that thing wey dey make me mad o (Mad o) I dey spend my rabba I dey spend my cheese on God o (Mad o) Baby travel overseas nobody bad o (Bad o) When you bend that ting omo I... Rayvanny "Nakupenda": A girl I want you to know that You're my everything my only one A girl I want ...Rose Muhando - Nipe Uvumilivu Lyrics
Last update on: February 11, 2022. The Lyrics for Nipe Uvumilivu by Rose Muhando have been translated into 2 languages. Nimekukimbilia wewe bwana Mwamba wangu na ngome yangu Nakuinulia macho yangu. Baba mungu naja kwako Nainua mikono yangu juu Nahitaji msaada wako Nimekukimbilia wewe bwana Mwamba wangu na ngome yangu Nakuinulia macho yangu Baba ...Kama Zamani lyrics by Malika - original song full text. Official Kama ...
Nakutaka (Wewe) Nakupenda (Wewe) Sijashiba na bado nakuthamani Laniadhibu pendo lako fulani Fanya kulahali, Fanya kulahali Fanya kulahali, Urudi kama zamani Kama zamani, Kama zamani, Nyonda fanya hima, usichelewe haraka Ingiwa huruma, juwa mimi nakutaka Usiniweke nyuma, kwa mapenzi nateseka Tuishi daima, kwa kusema na kutheka [Chorus:] Naona ...Pst. Faustin S. Munishi - Yesu Nakupenda Lyrics
Lyrics for Yesu Nakupenda by Pst. Faustin S. Munishi. Yesu Yesu Yesu Yesu Yesu nakupenda, Napenda wokovu wako Napenda ushindi wako Napenda mambo yako Napenda roho wako Napenda kazi yako Napenda injili yako Asante Yesu umeniokoa, umenisamehe dhambi Umeponya roho na mwili wangu nakushukuru Yesu Maisha yangu umeyabadilisha niseme nini Bwana Basi ...MARION SHAKO - ADONAI LYRICS
Nakupamba na sifa zangu, Wewe kwangu Ebeneza (I adore you with my praises, you are Ebenezer to me) Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu. (I lift you, you deserve, my God you are lovely) Jina lako, takatifu, wewe kwangu…. Oh. (Your name, is holy, to me…. Oh) Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu. (I call you Adonai: You are my Lord)Fanuel Sedekia - Ni Wewe Bwana Lyrics
Fanuel Sedekia. Joan Der Boss submitted the lyrics for this song. Are the lyrics correct? NI WEWE BWANA BY FANUEL Ni wewe ni wewe Bwana Ni wewe ni wewe Bwana Ni wewe ni wewe Bwaana Ni wewe Bwaana ni wewe Bwana Ni wewe unayetujali Ni wewe Bwana ni wewe Bwana Ni wewe unayetupenda Ni wewe Bwana ni wewe Bwana Ni wewe uweza ni wako Ni wewe Bwana ni ...BETTY BAYO - MANENO LYRICS
Kazi, ya mikono yangu (The work of my hands) Wacha ibarikiwe, na wewe Bwana Let it be blessed by you Lord) Niamkapo, na nilalapo (When I awake, and when I sleep) Wacha nilindwe, na wewe Bwana (Let me be guarded by you Lord) Maneno, ya kinywa changu (The Words of my mouth)Wacha yatawaliwe, na wewe Bwana (Let them be ruled by you Lord) Maneno, ya ...Christina Shusho - Bwana Utetenao Lyrics
Lyrics for Bwana Utetenao by Christina Shusho. Type song title, artist or lyrics ... Bwana ni nani, Aliye kama wewe, na nafsi yangu, itamfurahia Bwana, {Wapendeza Bwana wapendeza, Ee Bwana wapendeza, katika hili najua utatenda aah Nitetee Bwana nitetee, Ee bwana nitetee, katika hili najua utatenda aah} By; Driverjoseph ... Nakupenda. 04. Follow ...John Lisu - Wastahili Lyrics
Emmanuel christopher submitted the lyrics for this song. Are the lyrics correct? login to vote. Lyrics for Wastahili by John Lisu. Bwana matendo yako, ni ya ajabu mno Nani awezaye kulinganishwa nawe, Bwana Wastahili (Wastahili) wewe Bwana (Bwana) Twakupenda (Twakupenda) wewe pekee (pekee) Umetukuka (Umetukuka) Twakuabudu (Twakuabudu) Aah Bwana ...Amon & Upendo Kilahiro - Hakuna Suloweza Lyrics
login to vote. Lyrics for Hakuna Suloweza by Amon & Upendo Kilahiro. Tazama Wewe ni bwana Mungu wa wote wenye mwili Je kuna neno gumu lolote Usilo liweza.×2 Tazama wewe ni bwana Mungu wa wote wenye mwili Je kuna neno gumu lolote Usilooliweza. Jee kuna neno kuna neno kuna neeno Usilo liweza Jee kuna neno gumu lolote Usilo liweza. Report a problem.Eunice Njeri feat. Billy Frank - Umeniweza Lyrics
int net suggested changes to these lyrics. Lyrics for Umeniweza by Eunice Njeri feat. Billy Frank. Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu baba yangu Upendo wangu mi nakupa baba Moyo wangu wakupenda we wajua Moyo wangu wakuinua tazama Kwa kinywa changu nakusifu Messiah eeh Upendo wangu mi nakupa babaa ...Reuben Kigame feat. Charity Mwangi - Wastahili Bwana Lyrics
login to vote. Lyrics for Wastahili Bwana by Reuben Kigame feat. Charity Mwangi. Instrumental Wastahili Bwana. Wastahili Bwana. Ulikufa msalabani, Niokolewe, Wastahili Bwana Wastahili Bwana. Wastahili Bwana. Ulibeba mizigo yangu, Sasa ni huru, Wastahili Bwana Uliacha utukufu wako. Ukaishi kati yetu kwa mapenzi.Paul Mwai - Sitafa Moyo Lyrics
Lyrics for Sitafa Moyo by Paul Mwai. Tulipo ianza safari,tulikuwa wengi sana Wengine wamepoteza imani yao,na kurudi nyuma wakafa moyo Lakini kwa neema na fadhili zako,Ebenezer umeniwezesha Sitafa moyo Mi najua,wewe uliniita Umwaminifu,Kazi ulioanza Maishani mwangu,nakuamini utaimaliza Umenitoa,mbali sana Na safari yangu,ni ndefu sana Milima na ...Christina Shusho - Bwana Umenichunguza Lyrics
Written by: Last update on: April 1, 2022. The Lyrics for Bwana Umenichunguza by Christina Shusho have been translated into 2 languages. Ee Bwana umenichunguza, nakunijua Wewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwangu Umelifahamu wazo langu, tokea mbali. Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwangu Umeelewa na njia zangu zoote, e-eh Umepepeta kwenda ...Betty Bayo - Maneno Lyrics
Edit lyrics. Lyrics for Maneno by Betty Bayo. Maneno, ya kinywa changu (The Words of my mouth) Wacha yatawaliwe, na wewe Bwana (Let them be ruled by you Lord) Maneno, ya kinywa changu (The Words of my mouth) Wacha yatawaliwe, na wewe Bwana (Let them be ruled by you Lord) 1: Ninaponena, juu ya maisha yangu (When I speak of my life) Ninene ya ...Dorcas Ndambuki - Wewe Ni Bwana Lyrics
Lyrics for Wewe Ni Bwana by Dorcas Ndambuki. Nainua mikono yangu Na sauti yangu Kukuabudu bwana Mungu mwenye enzi Kwa kua nlipokua Shimoni la utelezi Nlitafuta msahada Na sikupata popote, Nakuabudu maana,,,,, Wewe ni bwana. Report a problem. Listen to Podcasts talking about Dorcas Ndambuki. Discover Podcasts.

Found 23 lyrics.